FAHAMU jinsi watu wanavyoingiza FEDHA kupitia CRYPTOCURRENCY/BLOCKCHAIN TECHNOLOGY
Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia kwenye uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni (Cryptocurrency) kauli ambayo imepokelewa kwa furaha na wadau wake. Nazungumza na John Jockson pamoja n Gideon Odiki kuhusiana na hatua hiyo

Original Source Link